NsoKiss

5.0/ 5.0(1)

About NsoKiss

Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo:

a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile):

  • Kupata taarifa binafsi za usajili.

b) Kuangalia Taarifa za Michango:

  • Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika.
  • Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari.

c) Kupata Taarifa za Michango (Statements):

  • Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa.

d) Uhakiki wa Wastaafu:

  • Kuona taarifa za mstaafu.
  • Uhakiki

Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.

Similar Apps

Popular Apps

Games